Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي عُمارة الْبراءِ بنِ عازبٍ رضي اللَّه عنهما قال : أَمرنا رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِسبْعٍ : أَمرنَا بِعِيادة الْمرِيضِ ، وَاتِّبَاعِ الْجنازةِ ، وتَشْمِيتِ الْعاطِس ، وَإِبْرارِ الْمُقْسِمِ ، ونَصْرِ المظْلُومِ ، وَإِجابَةِ الدَّاعِي ، وإِفْشاءِ السَّلامِ . وَنَهانَا عَنْ خواتِيمَ أَوْ تَختُّمٍ بالذَّهبِ ، وَعنْ شُرْبٍ بالفَضَّةِ ، وعَنِ المياثِرِ الحُمْرِ ، وَعَنِ الْقَسِّيِّ ، وَعَنْ لُبْسِ الحَرِيرِ وَالإِسْتَبْرَقِ وَالدِّيبَاجِ .    متفق عليه
وفي روايةٍ : وإِنْشَادِ الضَّالةِ فِي السَّبْعِ الأُولِ


Kutoka kwa Abuu ‘Umaarah Al-Baraa’ bin ’Aazib (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema: [A metuamuru Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ kutekeleza mambo saba: Ametuamuru kuwazuru wagonjwa, na kufuata jeneza, na kumuombea aliyepiga chafya, na kuamini kiapo, kumnusuru aliyedhulumiwa, kuitikia mwaliko na kutoa na kueneza salamu. Na ametukataza kuvaa pete ya dhahabu, na kunywa kwenye chombo cha fedha, kupanda shogi la hariri nyekundu, na Al-Qasiyy,(ni nguo unayochanganywa hariri na kitani) na kuvaa hariri, na Istabraq (hariri nzito) na dibaji.]  [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine: [Na kusaidia kupata kilichopotea mambo saba yaliyotajwa mwanzo.]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6573121
TodayToday1188
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 19

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682875543552917977293671747481940
title_682875543564618697024641747481940
title_682875543575c19962741111747481940

NISHATI ZA OFISI

title_682875544287220935934171747481940
title_68287554429f810253870511747481940
title_6828755442b7213436223311747481940 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com