BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال: قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « انْصُرْ أَخَاكَ ظَالِماً أَوْ مَظْلُوماً» فقَالَ رَجُلٌ: يَا رسول اللَّه أَنْصرهُ إِذَا كَانَ مَظلُوماً أَرَأَيْتَ إِنْ كَانَ ظَالِماً كَيْفَ أَنْصُرُهُ ؟ قال: « تَحْجُزُهُ أَوْ تَمْنعُهُ مِنَ الظُّلْمِ فَإِنَّ ذلِك نَصْرُهْ » رواه البخاري
Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Amesema: [Mnusuru nduguyo awe amedhulumu au amedhulumia.” Mtu mmoja akauliza] Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Nitamnusuru akiwa amedhulumiwa, nieleze nitamnusuru vipi akiwa amedhulumu?” Akasema: [Mzuilie asidhulumu, kufanya hivyo ndiko kumnusuru.] [Imepokewa na Bukhari ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1138 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.