Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589

وعن جُنْدِبِ بن عبد اللَّه رضي اللَّه عنه قال: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم:«منْ صَلَّى صَلاةَ الصُّبحِ فَهُوَ فِي ذِمةِ اللَّه فَلا يطْلُبنَّكُمْ اللَّهُ مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ ، فَإِنَّهُ منْ يَطْلُبْهُ مِنْ ذِمَّتِهِ بِشَيْءٍ يُدرِكْه ، ثُمَّ يكُبُّهُ عَلَى وجْهِهِ في نَارِ جَهَنَّم »   رواه مسلم


Kutoka kwa Jundub bin ‘Abdillaah (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Atakaeswalia Swala ya Asubuhi basi yeye yupo katika ulinzi wa Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu asimpate mtu akimvunjia mtu ulinzi wake kwa jambo lolote, kwani atakaemkuta akivunja ulinzi wake Mwenyezi Mungu atamkamata na atamtupa kwa uso wake katika Moto wa jahannam]    [Imepokewa na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668255
TodayToday943
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 10

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866cafe5250913181031541751567102
title_6866cafe525e17673120021751567102
title_6866cafe526ba13983467631751567102

NISHATI ZA OFISI

title_6866cafe5398e14933196811751567102
title_6866cafe53a5a14278092781751567102
title_6866cafe53b2a4264221281751567102 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com