Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عائشة رضي اللَّه عنها قَالَتْ : إِنْ كَان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيدعُ الْعَمَلَ ، وهُوَ يحِبُّ أَنَ يَعْملَ بِهِ ، خَشْيةَ أَنْ يَعْمَلَ بِهِ النَّاسُ فيُفْرَضَ عَلَيْهِمْ »     متفقٌ عليه 


Kutoka kwa Bibi ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: [Mara nyengine alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ  akiacha 'amali naye anapenda kuitekeleza kwa kuogopea wasije watu wakaifanya amali hiyo kisha ikafaradhiwa juu yao]    [Imepokewa na Bukhari,na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8031804
TodayToday887
Highest 07-31-2026 : 9991
US
Guests 88

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6a8d8c417be8b15827715381787661377
title_6a8d8c417beda214430781787661377
title_6a8d8c417bf2811399972271787661377

NISHATI ZA OFISI

title_6a8d8c417c54410105556211787661377
title_6a8d8c417c59216278983441787661377
title_6a8d8c417c5e04861030801787661377 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com