BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هُريْرَةَ رضي اللَّه عنه قال : قبَّل النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم الْحسنَ ابن عَليٍّ رضي اللَّه عنهما ، وَعِنْدَهُ الأَقْرعُ بْنُ حَابِسٍ ، فقال الأَقْرَعُ : إِنَّ لِي عَشرةً مِنَ الْولَدِ ما قَبَّلتُ مِنْهُمْ أَحداً فنَظَر إِلَيْهِ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقال : «مَن لا يَرْحمْ لا يُرْحَمْ» متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yake) Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimbusu mjukuu wake Al-Hasan bin ‘Ali (Radhi za Allah ziwe juu yao) Akiwa na Al-Aqra bin Haabis akasema: “Hakika mimi nina watoto kumi sijambusu yeyote miongoni mwao.” Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ alimtazama, kisha akasema: [Asiye na huruma (kwa wenziwe) basi hahurumiwi.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1144 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.