Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي قَتَادَةَ الْحارثِ بنِ ربعي رضي اللَّه عنه عن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَنَّهُ قَام فِيهمْ، فذَكَرَ لَهُمْ أَنَّ الْجِهادَ فِي سبِيلِ اللَّه ، وَالإِيمانَ بِاللَّه أَفْضلُ الأَعْمالِ، فَقَامَ رَجلٌ فقال: يا رسول اللَّه أَرَأَيْت إِنْ قُتِلْتُ فِي سَبِيلِ اللَّه ، تُكَفِّرُ عنِي خَطَايَاىَ؟ فقال لَهُ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « نعَمْ إِنْ قُتِلْتَ فِي سَبِيلِ اللَّه وأَنْتَ صَابر مُحْتَسِبٌ ، مُقْبِلٌ غيْرَ مُدْبرٍ » ثُمَّ قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « كيْف قُلْتَ ؟ » قال : أَرَأَيْتَ إِنْ قُتِلْتُ فِي سَبِيل اللَّه ، أَتُكَفرُ عني خَطَاياي ؟ فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «نَعمْ وأَنْت صابِرٌ مُحْتَسِبٌ ، مُقبِلٌ غَيْرَ مُدْبِرٍ ، إِلاَّ الدَّيْن فَإِنَّ جِبْرِيلَ قال لِي ذلِكَ »    رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Qataadah bin Al-Haarith bin Rab’iyy Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ alisimama mbele yao, akawatajia kuwa jihaad katika njia ya Mwenyezi Mungu na kumuamini Mwenyezi Mungu ndio ‘amali bora. Alisimama mtu mmoja akasema: Ee Mtume wa Mwenyezi Mungu! Waonaje nikiuliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu nitasamehewa madhambi yangu? Mtume ﷺ akamwambia: [Ndio, ukiuliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu nawe ukawa katika hali ya kusubiri na huku unatarajia malipo ukiwa unasonga mbele katika vita wala sio kurudi nyuma (na kukimbia).] Kisha Mtume ﷺ akamuliza: [Umesema nini?] Akasema: Ee Rasuli wa Mwenyezi Mungu! Waonaje nikiuliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu nitasamehewa makossa yangu? Mtume ﷺ akasema: [Ndio, ukiuliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu nawe ukawa katika hali ya kusubiri na huku watarajia malipo (kutoka kwa Allaah), ukiwa unasonga mbele katika vita wala sio kurudi nyuma ila (ukiwa na) deni Hakika Jibril ameniambia hilo.]    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572912
TodayToday979
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 60

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286ab6bd90c5023985941747479222
title_68286ab6d3c8e4684048571747479222
title_68286ab6d3dd69989410721747479222

NISHATI ZA OFISI

title_68286ab6d5d4019132424981747479222
title_68286ab6d5e2810460363611747479222
title_68286ab6d5f0a7538644581747479222 Add content here

HUDUMA MPYA

: 4 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com