Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه أَنْ فَتًى مِنْ أَسْلَمَ قال : يا رسُولَ اللَّه إِنِّي أُرِيد الْغَزْوَ ولَيْس مَعِي مَا أَتجهَّزُ بِهِ ؟ قَالَ : « ائْتِ فُلاناً فإِنه قَدْ كانَ تَجَهَّزَ فَمَرِضَ »  فَأَتَاهُ فقال : إِنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُقْرئُكَ السَّلامَ وَيَقُولُ : أَعْطِني الذي تجَهَّزْتَ بِهِ ، فقال : يا فُلانَةُ أَعْطِيهِ الذي تجَهَّزْتُ بِهِ ، ولا تحْبِسِي مِنْهُ شَيْئاً ، فَواللَّه لا تَحْبِسِينَ مِنْهُ شَيْئاً فَيُبَارَكَ لَكِ فِيهِ . رواه مسلم


Kutoka kwa Anas bin Maalik Radhi za Allah ziwe juu yake  ya kwamba kijana katika kabila la Aslam alikuja na kusema: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ! Mimi ninataka kushiriki katika vita, lakini sina chochote cha kujitayarisha kwayo?”  Mtume ﷺ akamwambia : [Nenda kwa Fulani kwani yeye alikuwa amejitayarisha akawa mgonjwa.]  Huyu kijana akaenda kwa huyo mtu na kumwambia: “Kwa hakika Mtume ﷺ anakutolea salamu na anakwambia: Nipatie mimi vifaa ulivyovitayarisha ili kuvitumia katika vita.” Akasema yule Fulani: “Ewe mke wangu mpatie kila kitu nilichotayarisha wala usibakishe chochote. Naapa kwa jina la Allaah, hutabakisha kitu chochote kisha Mwenyezi Mungu akubarikie kwa kitu hicho .”    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 120

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a10365820773806651791549857
title_6ac8e1a1036a711436665861791549857
title_6ac8e1a1036f32133467041791549857

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a103c9d9052766271791549857
title_6ac8e1a103cea15194438581791549857
title_6ac8e1a103d3612813320271791549857 Add content here

HUDUMA MPYA

: 11 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com