BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ : « كُلُّ أُمَّتِي يدْخُلُونَ الْجنَّةَ إِلاَّ مَنْ أَبِي » . قِيلَ وَمَنْ يَأَبى يا رسول اللَّه ؟ قالَ : « منْ أَطَاعَنِي دَخَلَ الجنَّةَ ، ومنْ عصَانِي فَقَدْ أَبِي » رواه البخاري
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Umma wangu wote wataingia Peponi isipokuwa atakayekataa.] Akaulizwa: “Ni yupi atakayekataa Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu ? Akajibu: [Atakayenitii mimi ataingia Peponi, na atakayeniasi basi amekataa.] [Imepokewa na Bukhari]
![]() | Today | 901 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.