Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «إِنَّ الدِّينَ يُسْرٌ ، ولنْ يشادَّ الدِّينُ إلاَّ غَلَبه فسدِّدُوا وقَارِبُوا وَأَبْشِرُوا ، واسْتعِينُوا بِالْغدْوةِ والرَّوْحةِ وشَيْءٍ مِن الدُّلْجةِ »   رواه البخاري
«وفي رواية له  « سدِّدُوا وقَارِبُوا واغْدوا ورُوحُوا ، وشَيْء مِنَ الدُّلْجةِ ، الْقَصْد الْقصْد تَبْلُغُوا


Kutoka kwa  Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ Amesema: [Hakika Dini ni nyepesi, wala hakuna atakayetia uzito katika Dini ispokuwa itamshinda, basi fanyeni kwa wastani, na karibieni  katika ukamilifu na toeni bishara njema na ombeni msaada katika nyakati za asubuhi na jioni na baadhi katika nyakati za usiku.]             [Imepokewa na Bukhari]

na katika Riwaya nyingine ya Bukhariy imesema: [Karibieni katika ukamilifu, fanyeni wastani, na wahini  nyakati za asubuhi, jioni na baadhi ya nyakati za usiku, kwa wastani wastani, mtafikia (malengo).]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 114

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e17133d4711904514881791549809
title_6ac8e17133d9912894682821791549809
title_6ac8e17133de818191705451791549809

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e171343ea19648439021791549809
title_6ac8e171344391332823331791549809
title_6ac8e1713445f14115255821791549809 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com