Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه قال : جاءَ ثَلاثةُ رهْطِ إِلَى بُيُوتِ أَزْواجِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يسْأَلُونَ عنْ عِبَادَةِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَلَمَّا أُخبِروا كأَنَّهُمْ تَقَالَّوْها وقالُوا : أَين نَحْنُ مِنْ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَدْ غُفِر لَهُ ما تَقَدَّم مِنْ ذَنْبِهِ وما تَأَخَّرَ . قالَ أَحَدُهُمْ : أَمَّا أَنَا فأُصلِّي الليل أَبداً ، وقال الآخَرُ : وَأَنا أَصُومُ الدَّهْرَ أبداً ولا أُفْطِرُ ، وقالَ الآخرُ : وأَنا اعْتَزِلُ النِّساءَ فلا أَتَزوَّجُ أَبداً، فَجاءَ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إلَيْهمْ فقال : « أَنْتُمُ الَّذِينَ قُلْتُمْ كذا وكذَا ؟، أَما واللَّهِ إِنِّي لأَخْشَاكُمْ للَّهِ وَأَتْقَاكُم له لكِني أَصُومُ وَأُفْطِرُ ، وَأُصلِّي وَأَرْقُد، وَأَتَزَوّجُ النِّسَاءَ، فمنْ رغِب عن سُنَّتِي فَلَيسَ مِنِّى»     متفقٌ عليه


Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: kwamba kundi la watu watatu lilikuja katika nyumba za wake wa Mtume ﷺ  wakiuliza kuhusu Ibadah za Mtume ﷺ . Walipoelezwa waliziona kama ni kidogo, wakasema: Sisi hatuko sawa na Mtume ﷺ , yeye amesamehewa Madhambi yake yaliyotangulia na yatakayokuja. Mmoja wao akasema: Ama mimi, nitaswali daima usiku wote. Mwengine akasema: mimi nitafunga mwaka mzima. Mwengine akasema: Mimi nitawaepuka wanawake, sitaoa kamwe. Mtume ﷺ akawaendea na kuwauliza: [Ninyi ndio mliosema kadhaa na kadhaa? Ama wa-Allaahi mimi namcha Mwenyezi Mungu zaidi na namuogopa zaidi kulikoni ninyi; lakini mimi ninafunga na nafungua, ninaswali na ninalala, na pia ninaoa wanawake. Atakayechukia mwendo wangu basi huyo si katika mimi.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 115

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e16795ff212274576781791549799
title_6ac8e1679604115453080881791549799
title_6ac8e1679608d20999361901791549799

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1679666d108679421791549799
title_6ac8e167966a417447507451791549799
title_6ac8e167966ef13928374471791549799 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com