BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي موسى الأشعري رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « منْ صلَّى الْبَرْديْنِ دَخَلَ الْجنَّةَ » متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ : [Atakayeswali Swala za Baridi Mbili (Swala ya Al-Fajr na Al-‘Aswr) ataingia Peponi.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 937 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.