BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي ذرٍّ رضي اللَّه عنه أيضاً أنَّ رسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «يُصْبِحُ على كلِّ سُلاَمَى مِنْ أَحَدِكُمْ صدقَةٌ ، فَكُلٌ تَسبِيْحةٍ صَدقةٌ ، وكُلُّ تحْمِيدَةٍ صدقَةٌ ، وكُلُّ تهْلِيلَةٍ صَدَقةٌ ، وكلُّ تَكْبِيرةٍ صَدَقَةٌ ، وأمْرٌ بالمعْرُوفِ صدقَةٌ ، ونَهْيٌ عَنِ المُنْكَرِ صدقَةٌ . ويُجْزِئُ مِنْ ذَلكَ رَكعَتَانِ يرْكَعُهُما مِنَ الضُّحى » رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hupambaukiwa kila kiungo cha mmoja wenu kulazimika kutoa sadaka. Kila Tasbihi (kusema Subhaana Allaah) ni sadaka, na kila Tahmidi (kusema AlhamduliLLaah) ni sadaka, na kila Tahlili (kusema Laa ilaaha illa-Allaah) ni sadaka, na kila Takbiri (kusema Allaahu Akbar) ni sadaka. Kuamrisha mema ni sadaka na kukataza maovu ni sadaka. Yote haya hutosheleza na rakaa mbili za Dhuhaa mtu anapoziswali.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
![]() | Today | 927 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.