BUSTANI YA WATU WEMA
عن ابن مسعودٍ رَضِيَ اللَّهُ عنه قال: صلَّيْت مع النَبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيلَةً، فَأَطَالَ الْقِيامَ حتَّى هممْتُ أَنْ أجْلِسَ وَأدعَهُ. متفقٌ عليه
Kutoka kwa‘Abdullaah bin Mas’uwd Radhi za Allah ziwe juu yake amesema : "Usiku mmoja niliswali na Mtume ﷺ akarefusha kisimamo hata nilifikiria nikae chini na nimuache Mtume ﷺ" (aendele na swala) ] . [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 874 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.