Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي عبد اللَّه حُذَيْفةَ بن اليمانِ، رضي اللَّهُ عنهما، قال: صَلَّيْتُ مع النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ذَاتَ ليَْلَةٍ، فَافَتَتَحَ الْبقرة، فقُلْت يرْكَعُ عِندَ المائة، ثُمَّ مضى، فَقُلْت يُصلِّي بِهَا في رَكْعةٍ، فَمَضَى
فَقُلْت يَرْكَع بهَا، ثمَّ افْتتَح النِّسَاءَ، فَقَرأَهَا، ثمَّ افْتتح آلَ عِمْرانَ فَقَرَأَهَا، يَقْرُأُ مُتَرَسِّلاً إذَا مرَّ بِآيَةٍ فِيها تَسْبِيحٌ سَبَّحَ، وإِذَا مَرَّ بِسْؤالٍ سَأل، وإذَا مَرَّ بِتَعَوذٍ تَعَوَّذَ، ثم ركع فَجعل يقُول: «سُبحانَ رَبِّيَ الْعظِيمِ» فَكَانَ ركُوعُه نحْوا مِنْ قِيامِهِ ثُمَّ قَالَ: «سمِع اللَّهُ لِمن حمِدَه، ربَّنا لك الْحمدُ» ثُم قَام قِياماً طوِيلاً قَريباً مِمَّا ركَع، ثُمَّ سَجَدَ فَقالَ: «سبحان رَبِّيَ الأعلَى» فَكَانَ سُجُوده قَرِيباً مِنْ قِيامِهِ».     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu ‘Abdillah, Hudhayfah bin Al-Yamaani Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Usiku mmoja niliswali na Mtume  akaanza kusoma Suratu Al-Baqarah. Nikasema (moyoni) atarukuu katika Aya ya Mia. Lakini akaendelea, nikasema atamaliza Sura yote katika Rakaa moja. Akaendelea. Nikasema: Atarukuu akimaliza Sura hii, halafu akaianza Suratu An-Nisaa. Akaisoma yote, kisha akaianza Suratu Al-‘Imraan, akaisoma yote. Alikuwa akisoma taratibu, anapoisoma Aya yenye kumsabih Mwenyezi Mungu, yeye humsabbih, na anaposoma Aya ya kuomba yeye huomba, na anaposoma Aya ya kujikinga yeye hujikinda. Kisha akarukuu na akawa anasema: [Ametakasika Mola wangu aliye Mtukufu..] Na ilikuwa Rukuu yake inafanana na kisimamo chake (kwa urefu), kisha akasema: [Mwenyezi Mungu Amemsikia mwenye kumsifu, Ee Bwana wetu ni zako sifa njema.] Kisha akasimama kisimamo kirefu kinachokaribiana na Rukuu, kisha akasujudu, akasema: [Ametakasika Mola wangu aliye juu.] Sijdah yake yake ikakaribiana na kisimamo chake.   [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572796
TodayToday863
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 33

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68285fe0a435e11571135091747476448
title_68285fe0a444a5632035881747476448
title_68285fe0a452d12352702701747476448

NISHATI ZA OFISI

title_68285fe0a5dab4884294721747476448
title_68285fe0a5e9b19856511551747476448
title_68285fe0a5f8118379463521747476448 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com