Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه قال: قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «المُؤمِن الْقَوِيُّ خيرٌ وَأَحبُّ إِلى اللَّهِ مِنَ المُؤْمِنِ الضَّعِيفِ وفي كُلٍّ خيْرٌ. احْرِصْ عَلَى مَا ينْفَعُكَ، واسْتَعِنْ بِاللَّهِ وَلاَ تَعْجَزْ. وإنْ أصابَك شيءٌ فلاَ تقلْ: لَوْ أَنِّي فَعلْتُ كانَ كَذَا وَكذَا، وَلَكِنْ قُلْ: قدَّرَ اللَّهُ، ومَا شَاءَ فَعَلَ، فَإِنَّ لَوْ تَفْتَحُ عَمَلَ الشَّيْطَان».     رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu   [Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeza zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu kulikoni Muumini dhaifu, na katika wote (hao) kuna kheri, fanya Pupa katika jambo linalokunufaisha, na uombe msaada kwa Mwenyezi Mungu na wala usifanye uvivu, Utakaposibiwa na jambo usiseme; Lau ningalifanya kadhaa na kadhaa, lakini sema: "Ni makadiro ya Mungu na Atakalo Yeye huwa." Kwani kusema; lau, hufungua ‘amali ya Shaetani.]      [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668197
TodayToday885
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 38

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c024e163f19308474231751564324
title_6866c024e171d4402162131751564324
title_6866c024e180019752065531751564324

NISHATI ZA OFISI

title_6866c024e2f7a20147589171751564324
title_6866c024e306010962541821751564324
title_6866c024e314120115794181751564324 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com