BUSTANI YA WATU WEMA
عن عائشة رضي اللَّه عنها أنها قالت: «كان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا دَخَلَ الْعشْرُ أحيا اللَّيْلَ، وأيقظ أهْلهْ، وجدَّ وشَدَّ المِئْزَرَ» متفقٌ عليه
Kutoka kwa Kutoka kwa ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake: Amesema: [Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ Linapoingia kumi la Mwisho (katika mwezi wa Ramadhan) hukesha usiku, na akiwaamsha watu wa nyumbani kwake (wake zake) akijipinda na kukaza kikoi chake.]
[Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 864 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.