Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هريرة رضي اللَّه عنه. قال قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: «إِنَّ اللَّه تعالى قال: منْ عادى لي وليًّاً. فقدْ آذنتهُ بالْحرْب. وما تقرَّبَ إِلَيَ عبْدِي بِشْيءٍ أَحبَّ إِلَيَ مِمَّا افْتَرَضْت عليْهِ: وما يَزالُ عبدي يتقرَّبُ إِلى بالنَّوافِل حَتَّى أُحِبَّه، فَإِذا أَحبَبْتُه كُنْتُ سمعهُ الَّذي يسْمعُ به، وبَصره الذي يُبصِرُ بِهِ، ويدَهُ التي يَبْطِش بِهَا، ورِجلَهُ التي يمْشِي بها، وَإِنْ سأَلنِي أَعْطيْتَه، ولَئِنِ اسْتَعَاذَنِي لأُعِيذَّنه»   رواه البخاري


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:Amesema Mtume ﷺ :Hakika amesema Mwenyezi Mungu Mtukuf : [Mwenye kumfanyia uadui kipenzi Changu, basi Nimeshamtangazia vita. Mja Wangu hajikurubishi Kwangu kwa jambo linalonipendeza mno kulikoni kutenda fardhi nilizomfaradhishia; Mja Wangu hataacha kujikurubisha Kwangu kwa Nawafil (Swala za Sunna) mpaka Nimpende. Nitakapompenda, Nitakuwa ni masikizi yake anayosikilizia, na ni macho yake anayoonea, na ni mkono wake anaoshikia, na ni mguu wake anaotembelea. Akiniomba Nitampa, na akiomba kinga Kwangu Nitamkinga.]     [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668177
TodayToday865
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 12

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866bc9dcf9087453055451751563421
title_6866bc9dcf9f414635767091751563421
title_6866bc9dcfad819072834681751563421

NISHATI ZA OFISI

title_6866bc9dd10af17128838691751563421
title_6866bc9dd119a16157273671751563421
title_6866bc9dd127a9152883041751563421 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com