BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي هريْرَةَ ، رضي اللَّه عنه ، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّ اللَّهَ تَعَالَى يَغَارُ ، وَغَيْرَةُ اللَّهِ تَعَالَى ، أنْ يَأْتِيَ الْمَرْءُ مَا حَرَّمَ اللَّهُ عَلَيْهِ » متفقٌ عليه
و « الْغَيْرةُ » بفتح الغين : وَأَصلهَا الأَنَفَةُ
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Mwenyezi Mungu Hufanya ghera, na ghera ya Mwenyezi Mungu ni mtu kutenda Aliyoharamisha Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 868 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.