Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عن ابنِ عبَّاسٍ ، رضيَ اللَّه عنهمَا ، قال : « كُنْتُ خَلْفَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يوْماً فَقال : « يَا غُلامُ إِنِّي أُعلِّمكَ كَلِمَاتٍ : « احْفَظِ اللَّهَ يَحْفَظْكَ احْفَظِ اللَّهَ تَجِدْهُ تُجَاهَكَ ، إِذَا سَأَلْتَ فَاسْأَل اللَّه ، وَإِذَا اسْتَعَنْتَ فَاسْتَعِنْ بِاللَّهِ ، واعلَمْ : أَنَّ الأُمَّةَ لَو اجتَمعتْ عَلَى أَنْ ينْفعُوكَ بِشيْءٍ ، لَمْ يَنْفعُوكَ إِلاَّ بِشَيْءٍ قَد كَتَبَهُ اللَّهُ لَكَ ، وإِنِ اجْتَمَعُوا عَلَى أَنْ يَضُرُّوك بِشَيْءٍ ، لَمْ يَضُرُّوكَ إِلاَّ بَشَيْءٍ قد كَتَبَهُ اللَّه عليْكَ ، رُفِعَتِ الأقْلامُ ، وجَفَّتِ الصُّحُفُ
رواهُ التِّرمذيُّ وقَالَ : حديثٌ حسنٌ صَحيحٌ 
وفي رواية غيرِ التِّرْمِذيِّ : « احفظَ اللَّهَ تَجِدْهُ أَمَامَكَ ، تَعَرَّفْ إِلَى اللَّهِ في الرَّخَاءِ يعرِفْكَ في الشِّدةِ ، واعْلَمْ أَنّ مَا أَخْطَأَكَ لَمْ يَكُنْ لِيُصيبَك ، وَمَا أَصَابَكَ لمْ يَكُن لِيُخْطِئَكَ واعْلَمْ أنّ النَّصْرَ مَعَ الصَّبْرِ ، وأَنَّ الْفَرَجَ مَعَ الْكَرْب ، وأَنَّ مَعَ الْعُسرِ يُسْراً 


Kutoka kwa Ibnu ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Siku moja nilikuwa nyuma ya Mtume wa Mungu(juu ya mnyama). Akaniambia: [Ewe kijana, mimi nitakufundisha maneno: Mhifadhi Mwenyezi Mungu Naye Atakuhifadhi. Mhifadhi Mwenyezi Mungu utamkuta yupo mbele yako. Unapoomba, muombe Mwenyezi Mungu. Unapotaka msaada, mtake msaada Mwenyezi Mungu. Fahamu kuwa, lau ummah (wote) utajikusanya ili wakunufaishe kwa jambo, basi hawataweza kukunufaisha ila kwa jambo Alilokuandikia Mwenyezi Mungu; na wakijikusanya ili wakudhuru kwa jambo, hawataweza kukudhuru ila kwa jambo Alilokuandikia Mwenyezi Mungu. Kalamu zimeshainuliwa na karatasi zimeshakauka.]    [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan Sahih]

Na katika Riwaya nyingine isiyokuwa ya At-Tirmidhiy imesema:

[Mhifadhi Mwenyezi Mungu utamkuta Yupo mbele yako. Mjue Mwenyezi Mungu katika raha naye Atakujua katika shida. Ujue kuwa, lililokukosa halikuwa ni lenye kukupata, na lililokusibu halikuwa ni lenye kukukosa. Ujue kuwa Nusra ipo pamoja na Subira, faraja ipo pamoja na dhiki, na kwenye uzito kuna wepesi.]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6700520
TodayToday1711
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 30

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68783abbf21683720369211752709819
title_68783abbf22531500464371752709819
title_68783abbf233720619896381752709819

NISHATI ZA OFISI

title_68783abbf396319901793221752709819
title_68783abbf3a4a16890898041752709819
title_68783abbf3b3415804004801752709819 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com