Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعنْ سُلَيْمانَ بْنِ صُرَدٍ رضي اللَّه عنهُ قال : كُنْتُ جالِساً مع النَّبِي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، ورجُلان يستَبَّانِ وأَحدُهُمَا قَدِ احْمَرَّ وَجْهُهُ . وانْتفَخَتْ أودَاجهُ . فقال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنِّي لأعلَمُ كَلِمةً لَوْ قَالَهَا لَذَهَبَ عنْهُ ما يجِدُ ، لوْ قَالَ : أَعْوذُ بِاللّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ ذَهَبَ عنْهُ ما يجدُ . فقَالُوا لَهُ : إِنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : «تعوَّذْ بِاللِّهِ مِن الشَّيَطان الرَّجِيمِ ».    متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Sulaymaan bin Swurad Radhi za Allah ziwe juu ayke amesema: “Nilikuwa nimekaa pamoja na Mtume ﷺ na watu wanatukanana, na mmoja kati yao uso wake ulikuwa umeiva na mishipa yake ya shingoni imevimba. Mtume ﷺ akasema: [Mimi nalijua neno, lau utalisema basi utaondokewa na hasira: “Aa’uwdhu biLLaahi mina shaytwaani rajiym (najilinda kwa Allaah dhidi ya shetani aliyelaaniwa), ataondokewa na hasira.] Wakaenda wakamwambia kuwa Mtume ﷺ amekwambia ujikinge kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyelaaniwa.”    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 123

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e12ec69b07764665271791549742
title_6ac8e12ec69ff7161141981791549742
title_6ac8e12ec6a4b10538079641791549742

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e12ec705e17393052401791549742
title_6ac8e12ec70ac1602022831791549742
title_6ac8e12ec70f819481204361791549742 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com