Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعنْ أبي عبدِ اللَّهِ خَبَّابِ بْن الأَرتِّ رضيَ اللَّهُ عنه قال : شَكَوْنَا إِلَى رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَهُو مُتَوسِّدٌ بُردةً لَهُ في ظلِّ الْكَعْبةِ ، فَقُلْنَا : أَلا تَسْتَنْصرُ لَنَا أَلا تَدْعُو لَنَا ؟ فَقَالَ : « قَد كَانَ مَنْ قَبْلكُمْ يؤْخَذُ الرَّجُلُ فيُحْفَرُ لَهُ في الأَرْضِ في جْعلُ فِيهَا ، ثمَّ يُؤْتِى بالْمِنْشارِ فَيُوضَعُ علَى رَأْسِهِ فيُجعلُ نصْفَيْن ، ويُمْشطُ بِأَمْشاطِ الْحديدِ مَا دُونَ لَحْمِهِ وَعظْمِهِ ، ما يَصُدُّهُ ذلكَ عَنْ دِينِهِ ، واللَّه ليتِمنَّ اللَّهُ هَذا الأَمْر حتَّى يسِير الرَّاكِبُ مِنْ صنْعاءَ إِلَى حَضْرمْوتَ لا يخافُ إِلاَّ الله والذِّئْبَ عَلَى غنَمِهِ ، ولكِنَّكُمْ تَسْتَعْجِلُونَ »    رواه البخاري
وفي رواية : « وهُوَ مُتَوسِّدٌ بُرْدةً وقَدْ لقِينَا مِنَ الْمُشْركِين شِدَّةً


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Abdillaah, Khabbaab bin Al-Arrat Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Tulimlalamika Mtume naye alikuwa ameegemea shuka yake katika kivuli cha Al-Ka’abah. Tukamwambia: “Hutuombei nusra, hutuombei dua ?” Akatuambia: [Walikuwa waliopita kabla yenu, mtu alikuwa akifukuliwa ardhi na akitiwa humo, halafu ukiletwa msumeno ukiwekwa juu ya kichwa chake, akigawanywa pande mbili, na (mwengine) akichanwa kwa chanuo la chuma akitolewa nyama na mifupa, jambo hilo haliwi kipingamizi katika dini yake. Wa-Allaahi, Mwenyezi Mungu Atalikamilisha jambo hili hata msafiri atembee kutoka San'aa hadi Hadhwramawt hana anachoogopa isipokuwa Mwenyezi Mungu, na kumkhofia mbwa mwitu asije akala mbuzi wake; lakini ninyi mnaharaka.]    [Imeokewa Bukhari]

Na katika Riwaya nyingine imesema: [Nae alikuwa ameegemea shuka yake. Kwa hakika tulipata mateso makubwa kutoka kwa mushirikina.]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668255
TodayToday943
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 10

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866cafe5250913181031541751567102
title_6866cafe525e17673120021751567102
title_6866cafe526ba13983467631751567102

NISHATI ZA OFISI

title_6866cafe5398e14933196811751567102
title_6866cafe53a5a14278092781751567102
title_6866cafe53b2a4264221281751567102 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com