Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


- وَعنْ أَبي سَعيدٍ وأَبي هُرَيْرة رضي اللَّه عَنْهُمَا عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : «مَا يُصِيبُ الْمُسْلِمَ مِنْ نَصَبٍ وَلاَ وَصَبٍ وَلاَ هَمٍّ وَلاَ حَزَن وَلاَ أَذًى وَلاَ غمٍّ ، حتَّى الشَّوْكَةُ يُشَاكُها إِلاَّ كفَّر اللَّه بهَا مِنْ خطَايَاه »    متفقٌ عليه
و« الْوَصَب » : الْمرضُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Sa’iyd na Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yao wamepokea kutoka kwa Mtume ﷺ kuwa amesema: [Muislamu hatopatwa na tabu, wala maradhi, wala hamu, wala huzuni, wala udhia, wala ghamu (sononeko) hata akichomwa na mwiba, isipokuwa Allaah Humfutia madhambi yake kwa sababu ya (matatizo) hayo.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572815
TodayToday882
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 26

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286382749378692651121747477378
title_6828638274a4220362196191747477378
title_6828638274b426343787961747477378

NISHATI ZA OFISI

title_6828638274dff6971915361747477378
title_6828638274f014896166871747477378
title_6828638274ffe17821415011747477378 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com