BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أبي عَبْدِ الرَّحْمن عَبْدِ اللَّهِ بن عُمرَ بن الخطَّاب رضي الله عنهما عن النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «إِنَّ الله عزَّ وجَلَّ يقْبَلُ توْبة العبْدِ مَالَم يُغرْغرِ» رواه الترمذي وقال: حديث حسنٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Kutoka kwa Abuu Abdir-Rahmaan, Abdullaah bin Umar bin Al-Khattwaab Radhi za Allah ziwe juu kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Hakika Mwenyezi Mungu ﷻ Huikubali Tawba ya mja madamu roho yake haijafika kooni.] [Imepkewa na At-Tirmidhiy na amesema: Hadiyth hii ni Hasan]
![]() | Today | 870 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.