Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


- وَعَنْ أبي هُرَيْرَةَ رَضِيَ الله عنه  قال: قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «صَلاَةُ الرَّجُلِ في جماعةٍ تزيدُ عَلَى صَلاَتِهِ في سُوقِهِ وَبَيْتِهِ بضْعاً وعِشْرينَ دَرَجَةً ، وذلِكَ أَنَّ أَحَدَهُمْ إِذا تَوَضَّأَ فَأَحْسَنَ الْوُضُوءَ ، ثُمَّ أَتَى الْمَسْجِد لا يُرِيدُ إِلاَّ الصَّلاَةَ ، لا يَنْهَزُهُ إِلاَّ الصَّلاَةُ ، لَمْ يَخطُ خُطوَةً إِلاَّ رُفِعَ لَهُ بِها دَرجةٌ ، وَحُطَّ عَنْهُ بِهَا خَطيئَةٌ حتَّى يَدْخلَ الْمَسْجِدَ ، فَإِذَا دخل الْمَسْجِدَ كانَ في الصَّلاَةِ مَا كَانَتِ الصَّلاةُ هِيَ التي تحبِسُهُ ، وَالْمَلائِكَةُ يُصَلُّونَ عَلَى أَحَدكُمْ ما دام في مَجْلِسهِ الَّذي صَلَّى فِيهِ ، يقُولُونَ : اللَّهُمَّ ارْحَمْهُ ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لَهُ ، اللَّهُمَّ تُبْ عَلَيْهِ ، مالَمْ يُؤْذِ فِيهِ ، مَا لَمْ يُحْدِثْ فِيهِ »   متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى




Kutoka kwa Abu Hurayra Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Amesema Mtume ﷺ: [Mtu kuswali kwa jamaa (ujira wake) huzidi kuliko mtu kuswali sokoni kwake na nyumbani mwake kwa daraja zaidi ya ishirini,nako ni kuwa mmoja wao anapotawadha kwa uzuri kisha akaenda Msikitini,hakusudii ila kwenda kuswali,hakuna lililomuinuwa ela ni Swala tu,basi (atakuwa) hatoinuwa hatuwa ila huinuliwa Daraja kwa hatua hiyo,na kuondolewa Dhambi mpaka aingie Msikitini,Atakapoingia Msikitini atakuwa (ahisabiwa yuko kwenye Swala) Maadamu swala ndio inayomzuia,na Malaika humuombea rehema mmoja wenu maadamu yuko katika kikao chake alichoswalia,wanamuombe "Ewe mola mrehemu,Ewe mola msamehe,Ewe mola mkubalie toba yake" Maadamu hajaudhi wala hajapatwa na Hadathi (Kutengukwa na Udhu).]   [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


 

 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668222
TodayToday910
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 29

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c764d455310267011401751566180
title_6866c764d46446349341191751566180
title_6866c764d472d8948717831751566180

NISHATI ZA OFISI

title_6866c764d5d217569551671751566180
title_6866c764d5e0612027847291751566180
title_6866c764d5ee49933630701751566180 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com