Menu

الحديث السابع والثلاثون


Annawawiy1 


"إن الله كتب الحسنات والسيئات" 

عَن ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا عَنِ النبي صلى الله عليه وسلم فِيْمَا يَرْوِيْهِ عَنْ رَبِّهِ تَبَارَكَ وَتَعَالى أَنَّهُ قَالَ

إِنَّ الله كَتَبَ الحَسَنَاتِ وَالسَّيئَاتِ ثُمَّ بَيَّنَ ذَلِكَ؛ فَمَنْ هَمَّ بِحَسَنَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ عَشْرَ حَسَنَاتٍ إِلَى سَبْعِمائَةِ ضِعْفٍ إِلىَ أَضْعَاف كَثِيْرَةٍ. وَإِنْ هَمَّ بِسَيِّئَةٍ فَلَمْ يَعْمَلْهَا كَتَبَهَا اللهُ عِنْدَهُ حَسَنَةً كَامِلَةً،وَإِنْ هَمَّ بِهَا فَعَمِلَهَا كَتَبَهَا اللهُ سَيِّئَةً وَاحِدَةً
رَوَاهُ البُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ في صَحِيْحَيْهِمَا بِهَذِهِ الحُرُوْفِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



 HADITHI YA 37


ALLAAH KAVIANDIKA VITENDO VYEMA NA VIOVU


Kutoka kwa Ibn ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake  kapokea kutoka kwa Mtume amesema kutokana na yale aliyoyapokea kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka, kwamba Kasema: [Hakika Allaah Ameviandika vitendo vyema na viovu, kasha Akavibainisha. Basi atakayeazimia kufanya tendo jema kisha asiweze kulifanya, basi Allaah Atamwandikia ujira wa tendo jema lililokamika. Na ikiwa aliazimia kulifanya kisha akalifanya, basi Allaah Atamwandikia (Atam lipa) ujira mara kumi hadi mara mia saba na zaidi ya idadi hiyo.

Na atakayeazimia kufanya tendo ovu kisha asilifanye, Allaah Atamwandikia (Atamlipa) ujira mmoja, na endapo atalifanya tendo]

[Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa herufi hizi]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511899
TodayToday757
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 34

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_67866209189db10119957901736860169
title_6786620918ac18771871801736860169
title_6786620918bac14039789301736860169

NISHATI ZA OFISI

title_678662091a18112200522211736860169
title_678662091a25a15556222381736860169
title_678662091a3361490968971736860169 Add content here

HUDUMA MPYA

: 14 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com