الحديث الثاني والعشرون
“أرأيت إذا صليت المكتوبات وصمت رمضان”
عَنْ أبي عَبْدِ اللهِ جَابِرِ بْنِ عَبْدِ اللهِ الأنْصَارِيِّ رَضي اللهُ عَنْهُما أَنَّ رَجُلاً سَأَلَ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم فَقال: أَرَأَيْتَ إذَا صَلَّيْتُ الْمكْتُوباتِ، وَصُمْتُ رَمَضانَ، وَأَحْلَلْتُ الْحَلاَلَ، وَحَرَّمْتُ الْحَرَامَ، وَلَمْ أَزِدْ على ذِلكَ شَيْئاً، أَأَدْخُلُ الْجَنَّةَ ؟ قال: [نَعَمْ
رَوَاهُ مُسْلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 22
JE, NIKISWALI SWALAH ZA FARDHI, NIKAFUNGA RAMADHAAN…
Kutoka kwa Abu ‘Abdillaah Jaabir bin ‘Abdillaah Al-Answaariy Radhi za Allah zimfikie yeye alisema:
Mtu alimuuliza Mtume ﷺ Unafikiri nikiswali Swalah za fardhi, nikafunga Ramadhaan, nikafanya halali kilicho halali na nikaharimisha kile kilichoharimishwa, na nisifanye jambo lolote lingine, je? Nitaingia peponi? Mtume ﷺ akamjibu: [Ndio.]
[Imepokelewa na Muslim]
Today | 783 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.