الحديث العشرون
“إذا لم تستح فاصنع ما شئت”
عن أبي مَسْعُودٍ عُقْبَةَ بن عمرو الأَنْصَارِيّ البَدْرِيّ رضي اللهُ عنه قال : قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [إِنَّ مما أَدْرَكَ النَّاسُ مِنْ كَلامِ النُّبُوَّةِ الأولَى: إِذا لمْ تَسْتَحِ فاصْنَعْ ما شِئْتَ
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 20
KUWA NA HAYA NI KATIKA IMANI
Kutoka kwa Abu Mas’ud ‘Uqbah Ibn ‘Amr Al Ansariy Al Badriy Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Mtume ﷺ kasema: [Katika maneno ambayo watu waliyapata kutoka kwa Mitume wa mwanzo (waliotangulia) ni haya: “Ikiwa huna haya basi fanya utakalo.]
[Imepokelewa na Al-Bukhari]
Today | 759 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.