Menu

الحديث الثامن


 Annawawiy1


“أمرت أن أقاتل الناس”

عن ابنِ عُمَرَ رضي الله عنهما أنَّ رسُوَل الله صلى الله عليه وسلم قال: [أُمِرْتُ أَنْ أُقاتِلَ النَّاسَ حتَّى يَشْهَدُوا أنْ لا إلَهَ إلاَّ اللهُ وأنَّ محمداً رسوُل اللهِ، ويُقِيمُوا الصَّلاَةَ، ويُؤتُوا الزَّكاةَ، فإذا فَعَلوا ذَلِكَ عَصَموا منِّي دِماءَهُمْ وأمْوَالَهُمْ إلا بِحَقِّ الإِسْلامِ، وحِسابُهُم على اللهِ تعالى

رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 8


NIMEAMRISHWA NIPIGANE NA WATU


Kutoka kwa Ibn ‘Umar Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema kuwa Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema :

[Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washahadie kuwa hakuna Mungu ispokuwa Allaah alie tukuka na Muhammad ni Mjumbe wa Allaah Subhanahu Wata'ala na mpaka watakaposwali, na wakatoa zaka, na wakifanya hivyo, watakuwa wamepata himaya kwangu ya damu yao, na mali yao isipokuwa kwa haki ya Uislamu. Na hesabu yao itakuwa kwa Mwenyezi Mungu alie tukuka.]

[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim]


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511953
TodayToday811
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 35

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_678665a8e4a655274670031736861096
title_678665a8e4b4a14739096301736861096
title_678665a8e4c2b14129282981736861096

NISHATI ZA OFISI

title_678665a8f01cd19828860501736861096
title_678665a8f02b12293374811736861096
title_678665a8f03917372275011736861096 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com