Menu

الحديث السابع


 Annawawiy1


“الدين النصيحة”

عن أبي رُقَيَّةَ تَمِيمِ بنِ أوْسٍ الدَّارِيِّ رضي اللهُ عنه: أَنَّ النَّبي صلى الله عليه وسلم قالَ:[الدِّينُ النَّصِيحَةُ]. قُلْنَا: لِمَنْ ؟ قالَ: [للهِ، ولِكِتَابِهِ، ولِرَسُولِهِ، ولِلأَئِمةِ المُسْلِمِينَ، وعامَّتِهِمْ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



 HADITHI YA 7


DINI NI NASIHA


Kutoka kwa Abu Ruqayyah Tamim Ibn Aus Addarry Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye amesema kuwa Bwana Mtume Rehma na amani zimfikie yeye kasema:

[Dini ni nasiha.] Tukauliza: Kwa nani?  Akasema [Kwa Allaah, na Kitabu chake, na Mtume wake na kwa Viongozi wa Waislamu na watu wa kawaid]

[Imepokelewa na Muslim] 


Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza



Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya pili



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8357301
TodayToday642
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 21

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6aca1dcfa55b22476110531791630799
title_6aca1dcfa560110821835731791630799
title_6aca1dcfa564d20941956391791630799

NISHATI ZA OFISI

title_6aca1dcfa5bba10023848491791630799
title_6aca1dcfa5c067091381971791630799
title_6aca1dcfa5c5117107861241791630799 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 12 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com