الحديث الخامس
” من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه فهو رد”
عن أُمِّ المُؤمِنينَ أُمِّ عَبْدِ الله عائِشَةَ رَضي اللهُ عنها قالَتْ: قالَ رسُولُ الله صلى الله عليه وسلم: [ مَنْ أَحْدَثَ في أَمْرِنا هذا ما لَيْسَ منهُ فَهُوَ رَد
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ وَمُسْلِمٌ وَفِي رِوَايَةٍ لِمُسْلِمٍ
[مَن عَمِلَ عَمَلاً لَيْسَ عَلَيْهِ أَمْرُنَا فَهُوَ رَدٌّ ]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 5
ATAKAYEZUA KITU KISICHOKUWEMO KATIKA JAMBO HILI LETU KITAKATALIWA
Kutoka kwa Mama wa Waislamu Ummu Abdallah ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake ambaye alisema: Mtume wa Mwenyezi Mungu kasema:
[Yule anayezua kitu kisichokuwemo (kisichokuwa) katika jambo letu hili (DINI) kitakataliwa].
[Imepokelewa na Al-Bukhari na Muslim.]
Na katika usimulizi mwengine wa Muslim inasema hivi:
[Yule anayetenda kitendo ambacho hakikubaliani na jambo letu kitakataliwa.]
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab
Today | 784 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.