الحديث الثالث
“بني الإسلام على خمس
عن أبي عَبْدِ الرَّحْمنِ عَبْدِ اللهِ بنِ عُمَرَ بنِ الخَطابِ رَضيَ اللهُ عنهُما قال: سَمِعْتُ رسُولَ الله صلى الله عليه وسلم يقولُ: [ بُنَي الإسلامُ على خَمْسٍ : شهادَةِ أَنْ لا إلهَ إلا اللهُ وأَنَّ محمَّداً رسولُ اللهِ، وإقَامِ الصَّلاةِ، وإيتَاءِ الزَّكاةِ، وحَجِّ البَيْتِ، وصَوْمِ رَمَضَانَ
رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى
HADITHI YA 3
NGUZO ZA KIISLAMU NI TANO
Kutoka kwa Abu Abdur-Rahman Abdullah Ibn ‘Umar Ibn Al-Khattaab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Ambaye alisema: Nilimsikia Bwana Mtume Rehma na amani zimfikie yeye akisema: [Uislamu umejengwa kwa nguzo tano:Shahada kuwa hakuna Mola apasaye kuabudiwa isipokuwa Allaah na Muhammad ni Mjumbe wake, kuswali, kutoa Zaka, kuhiji (Makka) na kufunga Ramadhan.]
[Imesimuliwa na Al-Bukhari na Muslim]
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya kwanza
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya pili
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya tatu
Sikiliza sherehe ya hadithi hii na Sheikh Mahamad Rajab sehemu ya nne
Today | 823 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.