Menu

الحديث الأول


 Annawawiy1


” إنما الأعمال بالنيات “

عن أَمِيرِ المُؤمِنِينَ أَبي حَفْصٍ عُمَرَ بنِ الخطَّابِ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ : سَمِعْتُ رَسُولَ اللهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ:[إِنَّما الأَعْمَالُ بالنِّيَّاتِ وإنَّما لكُلِّ امْرِىءٍ ما نَوَى، فَمَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ فَهِجْرَتُهُ إلى اللهِ ورَسُولِهِ، ومَنْ كانَتْ هِجْرَتُهُ لِدُنْيا يُصِيبُها أو امْرأةٍ يَنْكِحُها فَهِجْرَتُهُ إلى ما هَاجَرَ إليه

رَوَاهُ إِمَامَا الْمُحَدِّثِينَ أَبُو عَبْدِ اللهِ مُحَمَّدُ بنُ إِسْمَاعِيل بن إِبْرَاهِيم بن الْمُغِيرَة بن بَرْدِزبَه الْبُخَارِيُّ وَأَبُو الْحُسَيْنِ مُسْلِمٌ بنُ الْحَجَّاج بن مُسْلِم

الْقُشَيْرِيُّ النَّيْسَابُورِيُّ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا فِي “صَحِيحَيْهِمَا” اللذينِ هُمَا أَصَحُّ الْكُتُبِ الْمُصَنَّفَةِ


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله 


HADITHI YA 1


KILA KITENDO KWA NIA YAKE


Kutoka kwa Amiri wa Waumuni, Abu Hafs ‘Umar Ibn Al Khattaab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake  ambaye alisema : Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu Rehma na Amani ziwe juu yake akisema:

[Hakika kusihi kwa amali (Vitendo) vinategemea nia na kila mtu atapata kwa mujibu wa kile alichokusudia. Kwa hivyo yule aliyehama kwa ajili ya Allaah na Mtume wake, uhamaji wake ni kwa ajili ya Allaah na Mtume wake, na yule ambae uhamaji wake ulikuwa ni kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kumuoa mwanamke (Fulani) uhamaji wake ulikuwa kwa kile kilichomuhamisha.]

[Imesimuliwa na Maimam wawili mabingwa wa hadithi Abu Abdalla Muhammad Ibn Ismail Ibn Ibrahim Ibn Mughiyra Ibn Bardizbah Al Bukhari na Abu Al Husayn Muslim Ibn Al-Hajjaj Ibn Muslim Al Qushayri An-Naysaburi, katika sahihi zao mbili ambavyo ni vitabu vya kutegemewa.]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI NA SHEIKH MAHAMAD RAJAB 



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511916
TodayToday774
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 41

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_67866209189db10119957901736860169
title_6786620918ac18771871801736860169
title_6786620918bac14039789301736860169

NISHATI ZA OFISI

title_678662091a18112200522211736860169
title_678662091a25a15556222381736860169
title_678662091a3361490968971736860169 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com