Menu

 

KATIKA MAMBO YA KHERI NA ADABU KWA JUMLA

 

Ikiingia jioni (yaani jua linapokuchwa wakati wa magharibi) wazuieni watoto wenu kutoka toka kwani mashetani wanatawanyika nyakati hizo, ikisha pita wakati waacheni.   Na fungeni milango yenu  na mtajeni Mwenyezi Mungu  mnapoifunga, kwani shetani hafungui mlango ulio fungwa.  Na fungeni viriba vyenu vya maji, na mtajeni Mwenyezi Mungu.  Na funikeni vyombo vyenu na mtajeni Mwenyezi Mungu (funikeni) hata kama ni kwa kuwekea kitu ju.  Na zimeni taa zenu.     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

 

وصلى الله وسلم وبارك على نبينا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين

[Ewe Mwenyezi Mungu mrehemu Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama ulivyowarehemu jamaa wa Ibrahim. Na mbariki Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama ulivyowabariki jamaa zake Ibrahim, hakika Wewe Umesifika na Umetukuka.]

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6668421
TodayToday1109
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 31

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866ef6916da23099405531751576425
title_6866ef6916e6611608011921751576425
title_6866ef6916f2620572132011751576425

NISHATI ZA OFISI

title_6866ef69181e96058261781751576425
title_6866ef69182b06831016051751576425
title_6866ef691838216554180431751576425 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com