ANACHOSEMA ANAEOGOPEA KUPATWA NA KIJICHO
Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake au kwake, au mali yake kinachomfurahisha akiombee baraka (kwani kijicho ni kweli) kwa kusema:
اللّهُـمَّ بارِك عَلَـيه
[Ewe Mwenyezi Mungu, mbariki kwa hicho]
… au aseme :
ما شاءَ الله، لا قُوَّةَ إلاّ بالله
[Haya ndio Mwenyezi Mungu aliyoyataka hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Ahmad na Ibnu Maajah na Maalik]
ANACHOSEMA ANAEOGOPEA KUPATWA NA KIJICHO
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.