Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


NGUZO ZA HIJA

1. Kuhirimia:
kwa neno la Mtume :

 

[إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى .]  [رواه البخاري]

 

[Hakika matendo mema yategemea nia, na hakika kila mtu atapata lile alilonuilia] [Imepokewa na Bukhari.].

2. Kusai baina ya Swafaa na Marwah:
kwa neno lake :

[اسْعَوْا؛ فَإِنَّ الله كَتَبَ عَلَيْكُمْ السَّعْيَ].   [رواه أحمد]

 

[Fanyeni Sai, kwani Mwenyezi Mungu Amewafaradhia kusai]   [Imepokewa na Ahmad.].

3. Kusimama Arafa:
kwa kauli ya Mtume :

[الْحَجُّ عَرَفَةُ]. [رواه الترمذي]

[Hija ni Arafa]  [Imepokewa na Tirmidhi.].

4. Twawafu ya Ifaadhah:
kwa neno la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka:

 

وَلۡيَطَّوَّفُواْ بِٱلۡبَيۡتِ ٱلۡعَتِيقِ} الحج: 29}

 

[Na ili waitufu Nyumba ya Zamani]  [22: 29].

Tanabahisho

Mwenye kuacha nguzo moja miongoni mwa nguzo za Hijja, ikiwa ni kuhirimia basi ibada yake haikubaliki kwa sababu hakutia nia na ibada haikubaliki bila ya nia na ikwa ni nguzo nyingine ya Hijja haitatimia mpaka ailete.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6668080
TodayToday768
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 18

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866a7058e1cc1154110771751557893
title_6866a7058e31a11757074131751557893
title_6866a705a2776234613191751557893

NISHATI ZA OFISI

title_6866a705a278012156559701751557893
title_6866a705a28f66298690831751557893
title_6866a705a2a2e4313082671751557893 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com