Menu

 

 

JE YAFAA KUMUOMBEA DUA KAFIRI ANAEPENDA UISLAMU ??

 

 Suali: Mtu akiwa si muislamu lakini anapenda uislamu na waislamu na kuwataja vizuri. Je mtu huyu akifa inafaa kumuombea dua?

Jawabu: Mtu akiwa hakupiga shahada ya kushuhudia kuwa Mwenyezi mungu ni mmoja na kuwa Mtume muhammad ni Mtume wa Mwenyezi mungu huwa bado hajakuwa Muislamu hata kama alikuwa akijua kuwa uislamu ni dini ya haki,au ni dini yenye mafunzo mazuri, hilo halimfanyi kuwa ni muislamu.
Huyu hapa Ammi yake Mtume ﷺ alikuwa akijua kuwa Uislamu ni dini bora,na aliwahi kutunga mashairi ya kuusifu Uislamu,lakini yeye hakusilimu kwa kuogopa lawama za watu,na alipo kufa Allah Subhana wataala alimkataza Mtume kumuombea msamaha kwa sababu alikufa kafiri Allah anasema:

مَا كَانَ لِلنَّبِيِّ وَالَّذِينَ آمَنُوا أَن يَسْتَغْفِرُوا لِلْمُشْرِكِينَ وَلَوْ كَانُوا أُولِي قُرْبَىٰ مِن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمْ أَنَّهُمْ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ}    التوبة:113}

"Haimpasii Nabii na wale walio amini kuwatakia msamaha washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kuwa hao ni watu wa Motoni."      [Al-Tawba:113]

Na Allah ndie mjuzi zaidi

 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

8356550
TodayToday1666
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 38

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac9ab4e8de2b8527998021791601486
title_6ac9ab4e8de8d20456991381791601486
title_6ac9ab4e8deea4590170341791601486

NISHATI ZA OFISI

title_6ac9ab4e8e50217633260631791601486
title_6ac9ab4e8e5503577038871791601486
title_6ac9ab4e8e59a8897045361791601486 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com