Menu

JE YAFAA KWA MWANAMKE ALIE KWENYE HEDHI KUOSHA MAITI?


Hakuna aya wala Hadithi inayomkata Mwanamke alie kwenye Hedhi kuosha Maiti,au kuhudhuria anapooshwa Maiti,wala hatujui Hadithi kutoka kwa Bwana Mtume  kuhusu jambo hili,wala hatuji yoyote katika Wanachuoni walioharamisha jambo ilo isipokuwa imepokewa kwa baadhi ya wema waliotangulia kama Hasan Al Basari na Ibnu Siriin wamechukia jambo hilo,kama alivyo pokea Ibnu Abii Shayba katika Muswannaf yake


Chanzo: islamweb.net


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6707910
TodayToday842
Highest 07-09-2025 : 5269
US
Guests 29

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_687bd842b3d031775769741752946754
title_687bd842b3e633086913551752946754
title_687bd842b3f6627376341752946754

NISHATI ZA OFISI

title_687bd842b56da6140728251752946754
title_687bd842b57b48890809171752946754
title_687bd842b588a2316112851752946754 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com