BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه عن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّهُ لَيأتِي الرَّجُلُ السَّمِينُ العْظِيمُ يَوْمَ الْقِيامةِ لا يزنُ عِنْد اللَّه جنَاحَ بعُوضَةٍ »    متفقٌ عَلَيه


Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mungu : [Hakika atakuja Mtu mnono mkubwa siku ya Qiyama hatakua na uzani wa mbawa ya mbu mbele ya Mwenyezi Mungu]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


comments