BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه عن رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِنَّهُ لَيأتِي الرَّجُلُ السَّمِينُ العْظِيمُ يَوْمَ الْقِيامةِ لا يزنُ عِنْد اللَّه جنَاحَ بعُوضَةٍ » متفقٌ عَلَيه
Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mungu ﷺ: [Hakika atakuja Mtu mnono mkubwa siku ya Qiyama hatakua na uzani wa mbawa ya mbu mbele ya Mwenyezi Mungu] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
![]() | Today | 958 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.