BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال تعالى{َلَّا خَيْرَ فِي كَثِيرٍ مِّن نَّجْوَاهُمْ إِلَّا مَنْ أَمَرَ بِصَدَقَةٍ أَوْ مَعْرُوفٍ أَوْ إِصْلَاحٍ بَيْنَ النَّاسِ

{قال تعالى : {َوَالصُّلْحُ خَيْرٌ

{قال تعالى : {َفَاتَّقُوا اللَّهَ وَأَصْلِحُوا ذَاتَ بَيْنِكُمْ

{قال تعالى : {َإِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ فَأَصْلِحُوا بَيْنَ أَخَوَيْكُمْ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakuna kheri katika mengi ya wanayo shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule anaye amrisha kutoa sadaka, au kutenda mema, au kupatanisha baina ya watu.]       [An-Nisaai: 114]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na suluhu ni bora]       [An-Nisaai: 128]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[ Basi mcheni Mwenyezi Mungu na suluhisheni mambo baina yenu,]        [Al Anfaal: 01]

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu]       [Al H'ujuraat: 10]  


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments