BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما في قِصَّة برِيرَةَ وزَوْجِها . قال : قال لَهَا النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَوْ راجَعْتِهِ ؟ » قَالتَ : يا رَسُولَ اللَّه تأْمُرُنِي ؟ قال : « إِنَّما أَشـْفعُ » قَالَتْ : لا حاجة لِي فِيهِ .    رواه البخاري


Kutoka kwa Ibnu Abbas (Radhi za Allah ziwe juu yao) Ameelezea juu ya kisa cha Bariira na mumewe, Mtume  akamwambia  [Waonaje lau ungalirejea kwake]   Bariira akauliza waniamrisha? (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) akamjibu [Kwa hakika naombea] (Bariira) akasema sina haja naye  [Imepokewa na Bukhari]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments