BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي موسى الأَشعري رضي اللَّه عنه قال : كان النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذَا أَتَاهُ طالِبُ حاجةٍ أَقْبَلَ عَلَى جُلسائِهِ فقال : « اشْفَعُوا تُؤجَرُوا ويَقْضِي اللَّه عَلَى لِسان نَبِيِّهِ ما أَحبَّ »    متفق عليه
«وفي رواية : « مَا شَاءَ


Kutoka kwa Abuu Musa Al-Ash'ariy  (Radhi za Allah ziwe juu yao) Amesema: alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  anapojiwa na mwenye haja, huwaelekea walioketi pamoja naye akiwambia: [Ombeeni mtalipwa, na Mwenyezi Mungu hukudhi (haja) kwa Ulimi wa Nabii wake Anavyopenda]     [Imepokewa na Muslim]

Na katika Riwaya nyingene imesema: [Hutekeleza Anavyotaka]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments