Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن  أبي هريرة رضي الله عنه  قال : سمِعت رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول : « كُلُّ أَمَّتِي مُعَافًى إِلاَّ المُجاهرينَ ، وإِنَّ مِن المُجاهرةِ أَن يعمَلَ الرَّجُلُ بالليلِ عمَلاً ، ثُمَّ يُصْبحَ وَقَدْ سَتَرهُ اللَّه عَلَيْهِ فَيقُولُ : يَا فلانُ عَمِلْتُ الْبَارِحَةَ كذَا وَكَذَا ، وَقَدْ بَاتَ يَسْترهُ ربُّهُ ، ويُصْبحُ يَكْشفُ سِتْرَ اللَّه »   متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu Akisema: [Umma wangu umesalimika isipokwa wanaodhihirisha (maovu) kwa hakika miongoni mwa kudhihirisha (maovu) ni mtu atende amali (maasia) usiku kisha apambaukiwe ilihali amesitiriwa na Mwenyezi Mungu aanze kusema: "Ee fulani, usiku nilitenda kadha na kadha" na ilihali alipitiwa na usiku wite hali ya kuwa Mwenyezi Mungu amemsitiri na apambaukiwe akiwa anaifunuwa sitara aliositiriwa na Mwenyezi Mungu]    [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6573077
TodayToday1144
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 35

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_682871c75da9315712834261747481031
title_682871c7721c620635950571747481031
title_682871c77233110955094111747481031

NISHATI ZA OFISI

title_682871c78bc764473539551747481031
title_682871c78bd5f3228581101747481031
title_682871c78be469839578731747481031 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com