BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هريرة رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لا يسْتُرُ عَبْدٌ عبْداً فِي الدُّنْيَا إِلاَّ سَتَرهُ اللَّه يَوْمَ الْقيامَةِ »  رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhi za Allah ziwe juu yao) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu Amesema: [Mja hamsitiri mja (mwenzie) Duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya Qiyama]    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments