BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَنسٍ رضي اللَّه عنه عن النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « لا يُؤْمِنُ أَحدُكُمْ حتَّى يُحِبَّ لأَخِيهِ مَا يُحِبُّ لِنَفْسِهِ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu  Amesema: [Haamini mmoja wenu mpaka ampende ndugu yake yale anayoyapendelea Nafsi yake.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]  


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments