BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي هُريرةَ رضي اللَّه عنه ، أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِذا صلى أَحدُكُمْ للنَّاسِ فلْيُخَفِّفْ ، فَإِنَّ فِيهِمْ الضَّعِيفَ وَالسقيمَ والْكَبِيرَ . وإِذَا صَلَّى أَحَدُكُمْ لِنَفْسِهِ فَلْيطَوِّل ما شَاءَ »     متفقٌ عليه 
«وفي روايةٍ : « وذَا الْحاجَةِ


Kutoka kwa Abuu Hurayra (Radhi za Allah ziwe juu yake) kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Anaposwalisha watu mmoja wenu basi akhafifishe, kwani miongoni mwao kuna Dhaifu, wagonjwa na wazee. Na anaposwali mmoja wenu peke yake, basi arefushe anavyotaka.]     [Imepokewa na Bukhaari na Muslim]

Na katika riwayah yengine: [Na wenye haja.]    


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments