BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي موسى رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : «الْمُؤْمنُ للْمُؤْمِن كَالْبُنْيَانِ يَشدُّ بعْضُهُ بَعْضاً »

وَشَبَّكَ بَيْنَ أَصَابِعِه .   متفق عليه


Kutoka kwa Abuu Musa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: [Muumini kwa Muumini mwenzie ni kama jengo, baadhi yake hutilia nguvu baadhi nyingine].  Na akaviunganisha vidole vyake. [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments