BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن ابنِ عمرَ رضي اللَّه عنهما قال قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَنْ يَزَالَ الْمُؤمِنُ فِي فُسْحَةٍ مِنْ دِينِهِ مَالَمْ يُصِبْ دَماً حَراماً »    رواه البخاري


Kutoka kwa I bn ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu : [Muumini anabaki kua katika upeo wa dini yake madamu hajamwaga damu iliyoharamishwa.]     [Imepokewa na Bukhari]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments