BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عبد اللَّه بن عَمْرو بن الْعاص رضي اللَّه عنهما عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «الْمُسْلِمُ مَنْ سَلِمَ الْمُسْلِمُونَ مِنْ لِسانِهِ ويَدِهِ ، والْمُهَاجِرُ مَنْ هَجَرَ ما نَهَى اللَّه عَنْهُ » متفق عليه
Kutoka kwa AbduLLaah bin ‘Amru bin Al-‘Aasw Radhi za Allah ziwe juu yao kuwa Mtume ﷺ amesema: [Muislamu ni yule ambaye Waislaam wamesalimika kutokana na ulimi wake na mkono wake, na Muhajir (mwenye kuhama) ni yule anayehama yale aliyoyakataza Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 883 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.