BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي عبدِ اللَّه طارِقِ بنِ شِهابٍ الْبُجَلِيِّ الأَحْمَسِيِّ رضي اللَّه عنه أَنَّ رجلاً سأَلَ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، وقَدْ وَضعَ رِجْلَهُ في الغَرْزِ : أَيُّ الْجِهادِ أَفْضَلُ؟ قَالَ : «كَلِمَةُ حقٍّ عِنْدَ سُلْطَانٍ جائِر »      رَوَاهُ النسائيُّ بإسنادٍ صحيحٍ


Kutoka kwa Abu ‘Abdillaah Twaariq bin Shihaab Al-Bajaliy Al-Ahmasiy Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba, mtu mmoja alimuuliza Mtumeambaye alikuwa tayari ameweka mguu kwenye kipandio (sehemu ya kuweka mguu wakati ukitaka kupanda Ngamia) akasema: Ni Jihadi gani iliyobora kabisa? (Mtume)  Akasema: [Kusema neno la uadilifu mbele ya Mtawala jeuri.]      [Imepokewa na An-Nasaai]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



comments